Ufafanuzi umetolewa kuhusu mti unaodaiwa kutokelezea sura ya Mwl Nyerere

Kuanzia juzi kumekuwa na habari zilizosambaa kwenye mitandao kijamii kutokea Tengamano Tanga ambapo imedaiwa mti aina ya Mwembe unatokelezea sura ya Mwl Julius Nyerere na upande mwingine Mama Maria nyerere sasa kwa niaba ya Uongozi Diwani wa kata ya Majengo, Tengamano Tanga, Suleiman Idd Mbarouk ametoa ufafanuzi kuhusu madai hayo…….
 
kila mmoja anazungumza kulingana na mtazamo wake, mwembe ule hauna mabadiliko kwamba usiku unakuwa tofauti na mchana unakuwa tofauti, muonekano wa usiku ndio muonekano huohuo wa mchana isipokuwa kitu utatakchokutana nacho kama shuhuda ni kile kitu ambacho kwenye mawazo yako umetegemea kukiona
Ufafanuzi umetolewa kuhusu mti unaodaiwa kutokelezea sura ya Mwl Nyerere  Ufafanuzi umetolewa kuhusu mti unaodaiwa kutokelezea sura ya Mwl Nyerere Reviewed by WANGOFIRA on 20:40:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.