Misri:6 wahukumiwa kifo, wapo waandishi 2 wa AljazeeraMahakama ya nchini Misri, imetoa hukumu ya kifo kwa watu sita wakiwemo waandishi wawili wa Al Jazeera kwa kudaiwa kufanya ushushushu.
image
Sita hao akiwemo rais wa zamani, Mohammed Morsy na wasaidizi wake walishtakiwa kwa kuvujisha siri za ikulu kwa Qatar. Hukumu hiyo ilitolewa Jumamosi iliyopita huku ikiungwa mkono na viongozi wa kidini. Waandishi hao walihukumiwa bila kuwepo mahakamani.
Misri:6 wahukumiwa kifo, wapo waandishi 2 wa Aljazeera Misri:6 wahukumiwa kifo, wapo waandishi 2 wa Aljazeera Reviewed by Unknown on 20:49:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.