USHAIDI WA ALIYEMTUSI JPM FB WAKAMILIKA

 
Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye anatuhumiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook imeendelea leo Mei 17, 2016 kwenye Mahakama Kuu kanda ya Arusha ambapo ushahidi umekamilika na kesi itaanza kusiklizwa mfululizo kuanzia June 7 mwaka huu. 

Hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Augustino Rwezire anayesikiliza kesi hiyo amesema upande wa mashtaka umekamilisha ushahidi wake na mtuhumiwa ataendelea na dhamana hadi kesi hiyo itakapoanza kusikilizwa
USHAIDI WA ALIYEMTUSI JPM FB WAKAMILIKA USHAIDI WA ALIYEMTUSI JPM FB WAKAMILIKA Reviewed by WANGOFIRA on 08:53:00 Rating: 5
Powered by Blogger.