RAIS WA CHUO KIKUU CHA KILIMO SOKOINE (SUA) ABWAGA CHINI NA BUNGE LA CHUO HICHO



Image result for SUANET
Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha sua FRANCIS NDUNGURU anayesoma Kozi ya AGRIBUSSINES (AEA) mwaka wa 3 amepigwa chini kutokana na kashfa za rushwa,uamuzi huo umefanywa na wabunge wa chuo hicho likiongozwa na spika mahiri ambaye alisimama kidete, kura zilipigwa na ndipo matokeo yakatoka na kuonesha kwamba robo tatu hawana imani nae.
  WANGOFIRA BLOG ikiongea moja kwa moja na baadhi ya wabunge walikuwepo bungeni wamesema wameamua kumpiga chini kutokana na kuendesha serikali bila kufata sheria.
SOMA BARUA HAPO CHINI YENYE KASHFA ZAKE ZOTE.



RAIS WA CHUO KIKUU CHA KILIMO SOKOINE (SUA) ABWAGA CHINI NA BUNGE LA CHUO HICHO RAIS WA CHUO KIKUU CHA KILIMO SOKOINE (SUA) ABWAGA CHINI NA BUNGE LA CHUO HICHO Reviewed by WANGOFIRA on 10:54:00 Rating: 5
Powered by Blogger.