PICHA ZA NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS- MAZINGIRA, ALIPOFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA KWENYE KIWANDA CHA SERENGETI

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa raisi Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akipata maelezo jinsi gani kiwanda hicho kinavyochuja maji kwa njia ya kisasa kabisa kwaajiri ya matumizi na uzalishaji kiwandani hapo.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa raisi Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina wa kwanza kushoto, katikati aliyevaa kanzu ni mbunge wa Temeke(CUF)Mh.Abdallah Mtolea wakitembezwa sehemu mbalimbali za kiwandani hapo mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza.

Naibu Waziri Wa nchi Ofisi ya Makamu wa raisi Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Afisa mazingira wa kiwanda cha serengeti Bw.Simon Peter mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kiwandani hapo.


(PICHA ZOTE NA EVALINE MKOI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS-MAZINGIRA) 


 
                     
               
                       
                



PICHA ZA NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS- MAZINGIRA, ALIPOFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA KWENYE KIWANDA CHA SERENGETI PICHA ZA NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS- MAZINGIRA, ALIPOFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA KWENYE KIWANDA CHA SERENGETI Reviewed by WANGOFIRA on 08:22:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.