YALIYOJIRI LEO KWENYE UFUNGUZI WA KAMPENI ZA URAIS WA DARUSO


Mgombea nafasi ya Ukamamu wa Rais wa Daruso akinadi sera zake kwa wanjaudsm wakati wa ufunguzi wa kampeni uliofanyika leo kwenye viwanja vya YOMBO 4.

Wanaudsm Wakifuatilia kwa makini sera na ahadi mbalimbali kutoka kwa wagombea wa nafasi ya Urais na Umakamu wa Urais wa Daruso

Mgombea Umakamu wa Rais Daruso akinadi Sera zake kwa wanaudsm

Mgombea Urais wa Daruso akinadi sera zake kwa wanaudsm

Mmoja wa wagombea nafasi ya Urais wa Daruso akinadi sera zake kwa wanafunzi wa UDSM

mmoja wa wanaudsm akiuliza swali kwa wagombea wa uongozi wa daruso

Mgombea Urais wa Daruso akinadi sera zake wakati wa ufunguzi wa kampeni uliofanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa  Yombo 4.

Rais anayemaliza Muda wake bwana Ahadi Kitaponda akitoka ukumbini mara baada ya ufunguzi wa kampeni kukamilika.









hii inaitwa journalist at work, mwandishi wa habari Munira Hussein akihakikisha hapitwi na habari kwa kuwahoji baadhi ya wagombea na viongozi wanaomaliza muda wao.

Mmoja wa wagombea Urais akiwa amebebwa na wafuasi wake.

                                    (PICHA ZOTE NA WANGOFIRA BLOG.)
YALIYOJIRI LEO KWENYE UFUNGUZI WA KAMPENI ZA URAIS WA DARUSO YALIYOJIRI LEO KWENYE UFUNGUZI WA KAMPENI ZA URAIS WA DARUSO Reviewed by WANGOFIRA on 09:55:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.