VIGOGO BIMA YA AFYA WATUMBULIWA.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (pichani) amewasimamisha kazi kupisha uchunguzi kwa watendaji Wakuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa ubadhirifu wa fedha za mfuko huo kwa Mkoa wa Mara

VIGOGO BIMA YA AFYA WATUMBULIWA. VIGOGO BIMA YA AFYA WATUMBULIWA. Reviewed by Unknown on 20:32:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.