TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Afariki Dunia.

 
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia leo. 
Msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar es salaam.  

RIP Amatus Liyumba
TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Afariki Dunia. TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Afariki Dunia. Reviewed by WANGOFIRA on 09:46:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.