JPM ATEMA CHECHE KWA WANAOLALAMIKA ATENDI HAKI KUWATUMBUA WATUMISHI.

 
Rais Magufuli leo amekutana na Viongozi wa CCM ngazi za Mikoa na Wilaya kwa lengo la kuwashukuru kwa kazi nzuri walizofanya wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana. 

Katika hafla hiyo, Rais Magufuli ameeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya watu wanaowaonea huruma mafisadi ambao wamekuwa wakitumbuliwa hadharani. Amesema fisadi hastahili huruma kwa sababu yeye wakati wanawaibia wananchi hakuwa na huruma.

"Wapo Wanaodai Tunakiuka haki za Binadamu Kuwatangaza Wanaotumbuliwa.....Wao walikuwa Wanafanya sawa Kuwaibia Hadharani Watanzania? " Amehoji Rais Magufuli.

==> Zaidi Tazama Video hapa Rais Magufuli Akizungumza

Je,

JPM ATEMA CHECHE KWA WANAOLALAMIKA ATENDI HAKI KUWATUMBUA WATUMISHI. JPM ATEMA CHECHE KWA WANAOLALAMIKA ATENDI HAKI KUWATUMBUA WATUMISHI. Reviewed by WANGOFIRA on 20:39:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.