Zitto Ajiuzulu kwenye Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kwa Tuhuma za Rushwa

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wammepokea rushwa.Kutokana na shtuma hizo ameamua kumuandikia spika  barua  ya kujiuzulu  na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.

Hii  ni nakala ya barua yake
aliyomwandikia spika wa bunge

Zitto Ajiuzulu kwenye Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kwa Tuhuma za Rushwa Zitto Ajiuzulu kwenye Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kwa Tuhuma za Rushwa Reviewed by WANGOFIRA on 12:23:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.