NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA, AFANYA USAFI ENEO LA TPDC Mikocheni DSM


Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina, akifanya usafi katika mtaro wa maji machafu katika mtaa wa TPDC, maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa siku ya usafi jumamosi ya mwisho wa mwezi. (Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais)
Aliyevaa shati ya blue Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira mh Luhaga Mpina akiweka taka katika gari la kuzolea taka katika mtaa wa TPDC Mikocheni JIjini Dar es salaam leo, Jumamosi ya mwisho wa Mwezi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Serikali la usafi wa Mazingira (Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais)
Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Luhanga Mpina akionyeshwa moja ya chemb a inayotiririsha majin machafu kutoka viwandani na Dawasco, iliyopo mtaa wa TPDC kwa Warioba. (picha na Baraka Ngofira)Mmoja wa wakazi wa mtaa wa TPDC akiwaeleza waandishi wa Habari na Naibu waziri malalamiko yako kuhusiana na kero anayoipata kutokana na maji machafu  na yenye harufu mbaya yanayoingia nyumbani kwake (picha na Baraka Ngofira)
NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA, AFANYA USAFI ENEO LA TPDC Mikocheni DSM NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA, AFANYA USAFI ENEO LA  TPDC Mikocheni DSM Reviewed by Unknown on 22:24:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.