BREAKING NEWS; BALOZI OMBENI SEFUE AONDOLEWA UKATIBU MKUU KIONGOZI




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemteua Balozi mhandisi John William Kizaji kuwa Katibu mkuu kiongozi.
Kabla ya uteuzi huo mhandisi Kijazi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini India.

Uteuzi huu unaanza mara moja.


Kufuatia uteuzi huo, aliyekuwa katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue atapangiwa kazi nyingine.




Geyson Msigwa 
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu
Dar es salaam
06 machi, 2016



source; michuzi blog
BREAKING NEWS; BALOZI OMBENI SEFUE AONDOLEWA UKATIBU MKUU KIONGOZI BREAKING NEWS; BALOZI OMBENI SEFUE AONDOLEWA UKATIBU MKUU KIONGOZI Reviewed by WANGOFIRA on 05:50:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.