MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI WAFANYA SHEREHE IKULU.WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, KIKANDA NA KIMATAIFA, MHE. DKT. AUGUSTINE MAHIGA AMWAKILISHA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUWAANDALIA MABALOZI MCHAPALO WA MWAKA MPYA (SHERRY PARTY) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARY 8,2016


35910c93-ec81-4645-98e6-448e28c2eb7b

a372938b-fbf6-441f-adc3-41f2d7b0721d


e48ff296-01e8-44eb-bc07-7e09ad412079

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akihutubia wakati  akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika Mchapalo wa Mwaka Mpya kwa Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi mbalimbali za Kimtaifa maarufu kama “Sherry Party” Ikulu jijini Dar es salaam February 8, 2016
f80f8b3d-12fb-4428-b704-057f5f25d4f5 Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi mbalimbali za Kimtaifa wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akihutubia wakati  akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika Mchapalo wa Mwaka Mpya  maarufu kama “Sherry Party” Ikulu jijini Dar es salaam February 8, 2016
90aef352-2c8b-4df5-9a1f-9638f9bce80fWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga katika picha ya pamoja na Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi mbalimbali za Kimtaifa baada ya Mchapalo wa Mwaka Mpya  maarufu kama “Sherry Party” Ikulu jijini Dar es salaam February 8, 2016
(picha zote kwa hisani ya ikulu.)
MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI WAFANYA SHEREHE IKULU. MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI WAFANYA SHEREHE IKULU. Reviewed by Unknown on 07:26:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.