Breaking News. PROF. NDALICHAKO AWATIMUA KAZI WAKURUGENZI WA BODI YA MIKOPO HESLB.

waziri wa elimu sayansi na teknolojia Prof. ndalichako amewasimamisha watumishi watatu wa bodi ya mikopo ya Elimu ya juu HESLB akiwemo mkurugenzi mkuu wa HESLB Bwana GEORGE NYASENGA, JUMA CHAGONJA ambaye  msimamizi wa mikopo na Yusuph Kitare msimamizi wa fedha na mipango kwa kuwa wabadilifu na wazembe kazini. hivyo kupelekea wanafunzi wengi kutumia muda mwingi kuandamana na kufanya migomo mingi wakiwa chuoni ndipo wapewe fedha hizo.
Breaking News. PROF. NDALICHAKO AWATIMUA KAZI WAKURUGENZI WA BODI YA MIKOPO HESLB. Breaking News. PROF. NDALICHAKO AWATIMUA KAZI WAKURUGENZI WA BODI YA MIKOPO HESLB. Reviewed by WANGOFIRA on 00:09:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.