USAJILI: KIFAA HIKI CHATUA RASMI JANGWANI

Klabu ya Yanga yenye maskani yake mtaa wa jangwani leo imemsajili mchezaji mahiri kutoka klabu ya Mwadui FC ya Shiyanga kwa mkataba wa miaka miwili. Ikumbukwe Paul Nonga alijiunga na Mwadui FC akitokea klabu ya Mbeya City FC ya jijini ambapo aliitumikia kwa mafanikio makubwa na kuiwezesha timu hiyo changa kujizolea umaarufu mkubwa katika soka la Tanzania. Dili hili linamfanya Paul Nonga kufanya kazi pamoja tena na mwalimu wake akiwa klabu ya Mbeya City, Juma Mwambusi vile vile Mchezaji mwenzake wa zamani Deus Kaseke.
USAJILI: KIFAA HIKI CHATUA RASMI JANGWANI USAJILI: KIFAA HIKI CHATUA RASMI JANGWANI Reviewed by Unknown on 13:32:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.