RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKITANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 10,2015


1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, makamu wa Rais, Waziri Mkuu na katibu mkuu kiongozi wakiwasili moja ya kumbi za mikutano ya ikulu kwa ajili ya Rais kutangaza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 10,2015
4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 10,2015
8 9
Waandishi wa habari,viongozi na wananchi wakimsikiliza kwa makini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitangaza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 10,2015
9fac3ffb-ff92-4668-b472-8cc044ad69f2 ecd01180-2d00-4d45-9aab-2c6b56c93f40

26b246da-8b91-4faa-96a5-65e06d574d60
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana kwa furaha na wanahabari mara baada ya kutangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 10, 2015.
11 12
Picha ya pamoja na Waandishi wa habari baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitangaza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Desemba10,2015
92687c11-ee7b-496f-b80d-b3e5eafe6575
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akirejea ofisini baada ya kutangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kushoto kabisa ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue 
( PICHA ZOTE KWA HISANI YA IKULU)
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKITANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 10,2015 RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKITANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 10,2015 Reviewed by WANGOFIRA on 03:36:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.