Nafasi za ajira uhamiaji


Habari za asubuhi wadau wa blog hii, kama ilivyo kawaida ya wangofira blog ni kuhabarisha umma kuhusu yale yanayojiri kila siku, ikiwa ni pamoja na matukio muhimu.
Na leo basi idara ya uhamiaji wametoa nafasi 640 kwa vijana wa kitanzania wanaotaka kufanya kazi katika idara hiyo ya jeshi la polisi. Wewe kama kijana wa kitanzania uliyemaliza kidato cha nne au cha sita na kuhitimu mafunzo ya JKT una nafasi kubwa ya kupata ajira kwa maelezo zaidi BOFYA HAPA KUONA  maelezo na sifa mbalimbali zinazotakiwa kwa mwombaji.
Nafasi za ajira uhamiaji Nafasi za ajira uhamiaji Reviewed by WANGOFIRA on 21:58:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.