TAARIFA KUHUSU WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO KWA MWAKA 2015/2016

TAARIFA KUHUSU WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO KWA MWAKA 2015/2016

Kumekuwa na uzushi mtandaoni kuwa Bodi ya mikopo yaaan HESLB wametoa majina ya wanafunzi waliopata mkopo kwa mwaka wa masomo wa 2015/2016. bodi ya mikopo imekanusha taarifa hizo na kudai kuwa hazina ukweli wowote kwani mpaka sasa bodi hiyo iko kwenye hatua za mwisho kuhakiki majina ili waweze kutoa majina hayo mara tu itakapokamilisha.


kwa maelezo zaidi bofya  ''''''' HAPA''''''' kuhakikisha taarifa hyo.


AKSANTE NA ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII KWA TAARIFA ZA UHAKIKA NA MAKALA ZA KUFURAHISHA NA KUKUELIMISHA.
TAARIFA KUHUSU WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO KWA MWAKA 2015/2016 TAARIFA KUHUSU WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO KWA MWAKA 2015/2016 Reviewed by WANGOFIRA on 07:05:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.