majina ya wagombea ubunge kwa tiketi ya CCM

Chama cha mapinduzi kimeweka bayana majina ya wanachama wake watakaowakilisha chama hicho katika ngazi ya ubunge, wawakilishi na viti maalum. wapo walioshinda kura za maoni kwenye list hii hawamo.


TAARIFA RASMI KWA VYOMBO VYA HABARI
WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI WA MAJIMBO NA VITI MAALUM KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2015
NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
1.ArushaArusha MjiniArushaNdugu PhilemonMollel
KaratuKaratuDkt. Wilbard Slaa Lorri
ArumeruArumeru MagharibiNdugu Loy Thomas oleSabaya
Arumeru MasharikiNdugu John DanielsonSakaya (JD)
LongidoLongidoDkt. Stephen LemomoKiruswa
MonduliMonduliNdugu Namelock EdwardSokoine
NgorongoroNgorongoroNdugu William Tate oleNasha
2.Dar es SalaamIlalaUkongaKURA ZINARUDIWA
IlalaNdugu Zungu MussaAzzan
SegereaNdugu Bonna MosseKaluwa
TemekeTemekeNdugu Abasi ZuberiMtemvu
KigamboniDkt. Faustine EngelbertNdugulile
MbagalaNdugu Issa Ally A.Mangungu
KinondoniKaweNdugu Kippi Ivor Warioba
UbungoDkt. Didas JohnMasaburi
KibambaDkt. Fenela E.Mkangala
KinondoniNdugu Iddi Azzan
3DodomaChembaChembaNdugu Juma SelemaniNkamia
BahiBahiNdugu Omar AhmedBadwel
MpwapwaKibakweNdugu George BonifaceSimbachawene
MpwapwaNdugu George MalimaLubeleje
ChamwinoMteraNdugu Livingstone JosephLusinde
ChilonwaKURA ZINARUDIWA
Dodoma MjiniDodoma MjiniNdugu Antony PeterMavunde

NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
KongwaKongwaNdugu Job Y. Ndugai
KondoaKondoa MjiniNdugu Sanda Edwin
Kondoa VijijiniDkt. Ashatu Kijaji
4.GeitaGeitaGeita MjiniNdugu Costantine JohnKanyansu
Geita VijijiniNdugu Joseph LwinzaKasheku
BusandaNdugu Lolensia Masele Bukwimba
MbogweMbogweNdugu Augustino Manyanda Massele
BukombeBukombeNdugu Doitto MashakaBiteko
ChatoChatoDkt. Medard MatogoloKalemani
NyangwaleNdugu Hussein NassorAmar
5..IringaIringa MjiniIringa MjiniNdugu Mwakalebela Fredrick Wilfred
Iringa VijijiniIsimaniNdugu William Vangimembe Lukuvi
KalengaNdugu Godfrey William Mgimwa
KiloloKiloloKURA ZINARUDIWA
MufindiMufindi KaskaziniNdugu Mahmoud Hassan Mgimwa
Mufindi KusiniNdugu Mendrad Lutengano Kigola
Mafinga MjiniNdugu Cosato DavidChumi
6KageraBukoba MjiniBukoba MjiniBalozi Khamis SuedKagasheki
Bukoba VijijiniBukoba VijijiniNdugu Jasson SamsonRweikiza
BiharamuloBiharamuloNdugu Osca RwegasiraMkassa
KaragweKaragweNdugu Innocent LuughaBashungwa
KyerwaKyerwaNdugu Innocent SebbaBilakwate
MulebaMuleba KaskaziniNdugu Charles JohnMwijage
Muleba KusiniProf. Anna KajumuloTibaijuka
MisenyiNkengeNdugu Diodorus Buberwa Kamala
NgaraNgaraNdugu Alex RaphaelGashaza

NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
7.KataviMpandaMpanda MjiniNdugu Sebastian Simon Kapufi
Mpanda VijijiniNdugu Moshi SelemaniKakoso
MleleKataviNdugu Issack AloyceKamwele
NsimboNdugu Richard PhilipMbogo
KavuuDkt. Pudenciana WilfredKikwembe
8.KigomaKakonkoBuyunguEng. Christopher K.Chiza
KibondoMuhambweEng. AtashastaNditye
KasuluKasulu MjiniNdugu DanielNsanzugwanko
Kasulu VijijiniNdugu Augustino VumaHolle
BuhigweManyovuNdugu Albert ObamaNtabaliba
Kigoma MjiniKigoma MjiniNdugu Amani WalidKabourou
Kigoma VijijiniKigoma KaskaziniNdugu Peter JosephSerukamba
UvinzaKigoma KusiniNdugu Hasna SudiMwilima
9.KilimanjaroHaiHaiNdugu Danstan LucasMallya
SihaNdugu Aggrey DeaidileMwanri
Moshi MjiniMoshi MjiniNdugu Mosha DavisElisa
MwangaMwangaProfesa Jumanne A.Maghembe
SameSame MashirikiNdugu Anne KilangoMalecela
Same MagharibiNdugu David MathayoDavid
Moshi VijijiniMoshi VijijiniDkt. Cyril AugustChami
VunjoNdugu Innocent MelleckShirima
WilayaRomboNdugu Sanje SamoraColman
10.LindiRuangwaRuangwaNdugu Majaliwa Kassim Majaliwa
LiwaleLiwaleNdugu Faith Mohamed Mitambo
NachingweaNachingweaNdugu Hassan EliasMasala

NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
Lindi VijijiniMtamaNdugu Nape MosesNnauye
MchingaNdugu Said Mohamed Mtanda
Lindi MjiniLindi MjiniNdugu Hassan SelemanKaunje
KilwaKilwa KusiniNdugu Hasnain GulamabasDewji
Kilwa KaskaziniNdugu Murtaza AllyMangungu
11.MaraBundaBunda MjiniNdugu Steven MasatuWasira
MwibaraNdugu Kangi Alphaxard Lugola
Bunda VijijiniNdugu Boniface Mwita Getere
TarimeTarimeNdugu Christopher RyobaKangoye
Tarime MjiniNdugu Michael MwitaKembaki
SerengetiSerengetiDkt. Steven Kebwe Kebwe
ButiamaButiamaNdugu Nimrod ElirehemahMkono
Butiama VijijiniProf. Sospeter Mwinjarubi Muhongo
RoryaRoryaNdugu Lameck Okambo Airo
Musoma MjiniMusoma MjiniNdugu Vedastus MathayoManyinyi
12.ManyaraBabati MjiniBabati MjiniNdugu KisyeriChambiri
Babati VijijiniBabati VijijiniNdugu Jittu Vrajilal Son
Hanang’Hanang’Dkt. Mary Michael Nagu
KitetoKitetoLitaamuliwa na Kikao Kijacho cha Kamati Kuu
MbuluMbulu MjiniNdugu Zacharia PauloIssaay
Mbulu VijijiniNdugu Fratei Gregory Massay
SimanjiroSimanjiroNdugu Christopher Olonyhokie Ole Sendeka
13.MbeyaMbeya MjiniMbeya MjiniNdugu Sambwee Shitambala Mwalyego
Mbeya VijijiniMbeya VijijiniNdugu Oran M. Njeza
MbaraliMbaraliNdugu Haroon MullahPirmohamed

NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
RungweRungweNdugu Sauli HenryAmon
BusokeloNdugu Atupele FredyMwakibete
IlejeIlejeNdugu Janeth Zebedayo Mbene
MboziMboziNdugu Weston Godfrey Zambi
VwawaNdugu Ngailonga Josephat Kasunga
MombaMombaNdugu Luca JelasSiyame
TundumaNdugu Frank MastaraSichalwe
ChunyaLupaNdgu VictorMwambalaswa
SongweNdugu Philip A.Mulugo
KyelaKyelaDkt. Harrison GeorgeMwakyembe
14.MorogoroMorogoro MjiniMorogoro MjiniNdugu Abood Mohamed AbdulAziz
Morogoro VijijiniMorogoro KusiniNdugu Prosper Joseph Mbena
Morogoro Kusini MasharikiNdugu Omar TibwetaMgumba
GairoGairoNdugu AhmedShabiby
MvomeroMvomeroNdugu Suleiman Ahmed Saddiq
MikumiNdugu Jones EstomihNkya
KilomberoKilomberoNdugu Abubakar Damian Asenga
MlimbaNdugu Godwin Emmanuel Kunambi
UlangaUlanga MasharikiNdugu Celina Ompeshi Kombani
Ulanga MagharibiDkt. Hadji Mponda
KilosaKilosaNdugu Mbaraka Salum Bawazir
15.MtwaraMtwara MjiniMtwara MjiniNdugu Hasnen Mohamed Murji
NanyambaNdugu Abdallah DadiChikota
Mtwara VijijiniMtwara VijijiniNdugu Hawa Abdulhaman Ghasia
TandahimbaTandahimbaNdugu Shaibu SalumLikumbo

NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
NewalaNewala MjiniNdugu George Huruma Mkuchika
Newala VijijiniNdugu Rashid AjaliAkbar
NanyumbuNanyumbuNdugu William DuaMkurua
MasasiNdandaNdugu Mariam Reuben Kasembe
MasasiNdugu Chuachua Mohamed Rashid
LulindiNdugu Jerome DismasBwanausi
16.MwanzaIlemelaIlemelaNdugu Angelina Sylvester LubalaMabula
NyamaganaNyamaganaNdugu Stanslaus S. Mabula
KwimbaKwimbaNdugu Mansoor Shanif Hiran
SumveNdugu Richard MagangaNdassa
MisungwiMisungwiNdugu Charles MhangwaKitwanga
MaguMaguNdugu Boniventura Desdery Kiswaga
SengeremaSengeremaNdugu William Mganga Ngeleja
BuchosaDkt. Charles John Tzeba
UkereweUkereweNdugu ChristopherNyandiga
17.NjombeNjombe KusiniNjombe KaskaziniNdugu JoramHongoli
Njombe KusiniLitaamuliwa na Kikao Kijacho cha Kamati Kuu
Wanging’ombeMakambakoNdugu Deo KasenytenbdaSanga
Wanging’ombeNduguy Gerson HoseaLwenge
LudewaLudewaNdugu DeoFilikunjombe
MaketeMaketeKURA ZINARUDIWA
18.PwaniBagamoyoBagamoyoDkt. ShukuruKawambwa
ChalinzeNdugu Ridhiwani J.Kikwete
Kibaha Kibaha MjiniNdugu Sylvester Francis Koka
Kibaha VijijiniNdugu Hamoud AbuuJumaa


NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
KisaraweKisaraweNdugu Selemani Said Jaffo
MafiaMafiaNdugu Mbaraka K.Dau
MkurangaMkurangaNdugu Abdallah H.Ulega
RufijiRufijiKURA ZINARUDIWA
KibitiKibitiNdugu Ally SeifUngando
19.RukwaSumbawanga MjiniSumbawanga MjiniNdugu Aeshi Khalfan Hilaly
NkansiNkansi KaskaziniNdugu Ally MohamedKessy
Nkansi KusiniNdugu Deuderit JohnMipata
Sumbawanga VijijiniKwelaNdugu Ignas AloyceMalocha
KalamboKalamboNdugu Josephat Sinkamba Kandege
20.RuvumaSongea MjiniSongea MjiniNdugu Leonidas Tutubert Gama
NyasaNyasaNdugu Eng. Stella Martin Manyanya
TunduruTunduru KaskaziniNdugu Ramo MatalaMakani
Tunduru KusiniNdugu Daimu IddiMpakate
Songea VijijiniPeramihoNdugu Jenister JoakimMhagama
MadabaNdugu Joseph KisitoMhagama
NamtumboNamtumboKURA ZINARUDIWA
MbingaMbinga MjiniNdugu Sixtus RaphaelMapunda
Mbinga VijijiniKURA ZINARUDIWA KATA MBILI
21.SimiyuBariadiBariadi MagharibiNdugu Andrew John Chenge
ItilimaBariadi Mashariki (Itilima)Ndugu Njalu DaudiSilanga
MeatuMeatuNdugu Salum KhamisSalumu
KisesaNdugu Luhanga Joelson Mpina



NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
BusegaBusegaKURA ZINARUDIWA
MaswaMaswa MasharikiNdugu Stanslaus HarounNyongo
Maswa MagharibiNdugu Mashimba Mashauri Ndaki
22.SingidaSingidaSingida MjiniNdugu Ramadhani Sima
Singida KaskaziniNdugu LazaroNyalandu
MkalamaIramba MasharikiNdugu Joseph Allan Kiula
IrambaIramba MagharibiNdugu Mwigulu LamechNchemba
ManyoniManyoni MagharibiNdugu Yahya Omari Masare
Manyoni MasharikiNdugu Daniel Edward Mtuka
IkungiSingida MasharikiLitaamuliwa na Kikao Kijacho cha Kamati Kuu
Singida MagharibiNdugu Elibariki Emmanuel Kingu
23.ShinyangaShinyanga MjiniShinyanga MjiniNdugu StevenMasele
Shinyanga VijijiniSolwaNdugu Ahmed Ally Salum
KishapuKishapuNdugu Suleiman MasoudNchambi
KahamaMsalalaNdugu Ezekiel MagolyoMaige
UshetuNdugu Elias JohnKwandikwa
Kahama MjiniNdugu Kishimba Jumanne Kibera
24.TaboraTabora MjiniTabora MjiniNdugu EmmanuelMwakasaka
UyuiIgalulaNdugu Ntimizi Rashidi Mussa
Kaskazini UyuiNdugu Maige Athumani Almas
SikongeSikongeNdugu George JosephKakunda
UramboUramboNdugu Margareth SamwelSita
KaliuaKaliuaProfesa Juma AthumanKapuya




NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
UlyankuluNdugu John PeterKadutu
NzegaNzega MjiniNdugu Hussein Mohamed Bashe
BukeneNdugu Suleiman JumaZedi
Nzega VijijiniDkt. Hamis AndreaKigwangala
IgungaIgungaDkt Dalaly PeterKafumu
ManongaNdugu Seif Hamis Said
25.TangaTanga MjiniTanga MjiniNdugu Omari Rashid Nundu
LushotoLushotoNdugu Shabani OmariShekilindi
BumbuliNdugu Januari YusufMakamba
MlaloNdugu Rashid AbdakkagShangazi
PanganiPanganiNdugu Jumaa HamiduAweso
KilindiKilindiNdugu Omari MohamedKigua
MkingaMkingaNdugu Danstan LukaKitandula
HandeniHandeni MjiniDkt. Abdallah OmarKigoda
Handeni VijijiniNdugu Mboni MohamedMhita
MuhezaMuhezaBalozi Adadi MohamedRajabu
KorogweKorogwe MjiniNdugu Mary PiusChatanda
Korogwe VijijiniNdugu Stephen HillaryNgonyani









ORODHA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI 2015 UBUNGE - ZANZIBAR
NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
1.Kaskazini PembaWeteGandoNdugu Salim BakarIssa
KojaniNdugu Masoud AliMoh’d
MgogoniNdugu Issa JumaHamad
MtambweNdugu Khamis Seif Ali
WeteDkt. Abdalla SalehAbdalla
MicheweniMicheweniNdugu Khamis JumaOmar
TumbeNdugu Rashid KassimAbdalla
KondeNdugu Ramadhan OmarAhmed
WingwiNdugu Khamis ShaameHamad
2.Kaskazini UngujaKaskazini “A”ChaaniNdugu Khamis YahyaMachano
KijiniNdugu Makame Mashaka Foum
MkwajuniNdugu Khamis Ali Vuai
NungwiNdugu Mustafa MakameHamadi
TumbatuNdugu Juma OthmanHija
Kaskazini “B”BumbwiniNdugu Mbarouk JumaKhatib
DongeNdugu Sadifa JumaKhamis
KiwengwaNdugu Khamis MtumwaAli
MahondaNdugu Bahati Ali Abeid
3.Kusini PembaChake ChakeChake ChakeNdugu Mbaraka SaidRashid
ChongaNdugu Abdalla OmarMuya
OleNdugu Omar Mjaka Ali
WawiNdugu Daud KhamisJuma
ZiwaniNdugu Mohamed Othman Omar





NA.MKOAJIMBOALIYETEULIWA
MkoaniChambaniNdugu Moh’d AbdulrahmanMwinyi
KiwaniNdugu Rashid AbdullaRashid
MkoaniProf. Makame MnyaaMbarawa
MtambileNdugu Khamis Salum Ali
4.Kusini UngujaKatiChwakaNdugu BhagwanjiMeisuria(Mshamba)
TunguuNdugu Khalifa SalumSuleiman
UziniNdugu Salum MwinyiRehani
KusiniMakunduchiNdugu Haji AmeirHaji (Timbe)
PajeNdugu Jaffar SanyaJussa
5.MagharibiDimaniDimaniNdugu Hafidh AliTahir
Chukwani
FuoniNdugu Abass Ali Hassan
KiembesamakiNdugu Ibrahim HassanaliMohamed
KijitoupeleNdugu Shamsi VuaiNahodha
MwanakwerekweNdugu Ahmada YahyaAbdulwakil (Shaa)
MfenesiniBububuNdugu Mwantakaje HajiJuma
MfenesiniCol. Mst. Masoud AliKhamis
WelezoNdugu Saada MkuyaSalum
MweraNdugu Makame KassimMakame
6.MjiniAmaniAmaniNdugu Mussa Hassan Mussa
ChumbuniNdugu Ussi SalumPondeza
MagomeniNdugu Jamal Kassim Ali
MpendaeNdugu Salim HassanTurkey
ShaurimoyoNdugu Matar Ali Salum

NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
MjiniJang’ombeNdugu Ali Hassan Omar(King)
KikwajuniNdugu Hamad YussufMasauni
KwahaniDr. Hussein Ali Mwinyi
MalindiDkt. Abdulla Juma Abdalla

ORODHA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI 2015 BARAZA LA WAWAKILISHI - ZANZIBAR
NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
1.Kaskazini PembaWeteMgogoniNdugu Shehe HamadMatar
GandoNdugu Maryam ThaniJuma
KojaniNdugu Makame SaidJuma
MtambweNdugu Khadija OmarKibano
WeteNdugu Harusi SaidSuleiman
MicheweniMicheweniNdugu Shamata ShaameKhamis
TumbeNdugu Ali KhamisBakar
KondeNdugu Omar SeifAbeid
WingwiNdugu Said Omar Said
2.Kaskazini UngujaKaskazini “A”ChaaniNdugu Nadil Abdul-Latif Jussa
KijiniNdugu Juma MakunguJuma
MkwajuniNdugu Ussi YahayaHaji
NungwiNdugu Ame Haji Ali
TumbatuNdugu Haji OmarKheri
Kaskazini “B”BumbwiniNdugu Mtumwa PeyaYussuf
DongeDkt. Khalid SalumMohamed
KiwengwaNdugu Asha AbdallaMussaa
MahondaBalozi Seif Alli Iddi


NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
3.Kusini PembaChake ChakeChake ChakeNdugu Suleiman Sarhan Said
ChongaNdugu Shaibu Said Ali
OleNdugu Mussa AliMussa
WawiNdugu Hamad AbdallaRashid
ZiwaniNdugu Suleiman Makame Ali
4.MkoaniChambaniNdugu Bahati Khamis Kombo
KiwaniNdugu Mussa FoumMussa
MkoaniNdugu Mmanga Mjwengo Mjawiri
MtambileNdugu Moh’d MgazaJecha
5.Kusini UngujaKatiChwakaNdugu Issa HajiUssi
TunguuNdugu Simai Mohamed Said
UziniNdugu Mohamedraza H. Dharamsi
KusiniMakunduchiNdugu Haroun AliSuleiman
PajeNdugu Jaku HashimAyoub
6.MagharibiDimaniChukwaniNdugu Mwanaasha Khamis Juma
DimaniDkt. Mwinyihaji Makame Mwadini
FuoniNdugu Yussuf HassanIddi
Kiembe SamakiNdugu Mahmoud Thabit Kombo
KijitoupeleNdugu Ali SuleimanAli (Shihata)
MwanakwerekweNdugu Abdalla AliKombo
PangaweNdugu Khamis JumaMwalim
MfenesiniBububuNdugu Masoud Abraham Masoud
MfenesiniNdugu Machano Othman Said
MtoniNdugu Hussein Ibrahim Makungu
MtopepoDkt. Makame AlliUssi
WelezoNdugu Hassan KhamisHafidh
MweraNdugu Mihayo JumaN’hunga




NA.MKOAWILAYAJIMBOALIYETEULIWA
6.MjiniAmaniAmaniNdugu Rashid AliJuma
ChumbuniNdugu Miraji Khamis Mussa
MagomeniNdugu Rashid Makame Shamsi
MpendaeNdugu Mohamed SaidMohamed (Dimwa)
ShaurimoyoNdugu Hamza Hassan Juma
MjiniJang’ombeNdugu Abdalla MaulidDiwani
KikwajuniNdugu Nassor Salum Ali(Jazeera)
KwahaniNdugu Ali Salum Haji
MalindiNdugu Mohamed AhmadaSalum 



WABUNGE WA MIKOA WALIOTEULIWA KUPITIA JUMUIYA – UWT


NA.MKOAJINA
1ArushaNdugu Catherine Valentine Magige
Ndugu Vailet Charles Mfuko
2Dar es SalaamNdugu Mariam Nassoro Kisangi
Ndugu Janeth Mourice Massaburi
3DodomaNdugu Felister Aloyce Bura
Ndugu Fatuma Hassan Toufiq
4GeitaNdugu Vicky Paschal Kamata
Ndugu Josephina Tabitha Chagula
5IringaNdugu Rose Cyprian Tweve
Ndugu Ritha Enespher Kabati
6KataviNdugu Taska Restuta Mbogo
Ndugu Anna Richard Lupembe
7KageraNdugu Bernadetha Kasabango Mushashu
Ndugu Oliva Daniel Semuguruka
8KigomaNdugu Josephine Johnson Genzabuke
Ndugu Philipa Geofrey Mturano
9KilimanjaroNdugu Shally Josepha Raymond
Ndugu Betty Eliezer Machangu
10LindiNdugu Hamiuda Miohamed Abdallah
Ndugu Tecla Mohamed Ungele
11MaraNdugu Agnes Mathew Wambura
Ndugu Christina Mwema Samo
12ManyaraNdugu Martha Jachi Umbulla
Ndugu Esther Alexander Mahawe
13MbeyaDr. Mary Machuche
Ndugu Mary Obadia Mbwilo
14MorogoroNdugu Christine Gabriel Ishengoma
Ndugu Sarah Msafiri Ally
15MtwaraNdugu Anastazia James Wambura
Ndugu Agness Elias Hokororo
16MwanzaNdugu Kemirembe Julius Lwota
Ndugu Kiteto Zawadi Konshuma





NA.MKOAWILAYA
17NjombeNdugu Susan Alphonce Kolimba
Ndugu Neema William Mgaya
18PwaniNdugu Zaynab Matitu Vullu
Ndugu Subira Khamis Mgalu
19RukwaNdugu Bupe Nelson Mwakang’ata
Ndugu Silafu Jumbe Maufi
20RuvumaNdugu Jacqueline Ngonyani Msongozi
Ndugu Sikudhan Yassini Chikambo
21SimiyuNdugu Esther Lukago Midimu
Ndugu Leah Jeremia Komanya
SongweNdugu Juliana Daniel Shonza
Ndugu Neema Gerald Mwandabila
22SingidaNdugu Aisharose Ndogholi Matembe
Ndugu Martha Moses Mlata
23ShinyangaNdugu Lucy Thoma Mayenga
Ndugu Azza Hillal Hamad
24TaboraNdugu Munde Tambwe Abdallah
Ndugu Mwanne Ismail Mchemba
25TangaNdugu Ummy Ally Mwalimu
Ndugu Sharifa O. Abebe


















WABUNGE WA MIKOA WALIOTEULIWA KUPITIA JUMUIYA YA UWT - ZANZIBAR

NA.MKOAJINA
1Kaskazini PembaNdugu Maida Hamad Abdalla
Ndugu Asya Sharif Omar
2Kaskazini UngujaNdugu Angelina Adam Malembeka
Ndugu Mwanajuma Kassim Makame
3Kusini PembaNdugu Faida Moh’d Bakar
Ndugu Asha Moh’d Omar
4Kusini UngujaNdugu Asha Mshimba Jecha
Ndugu Mwamtum Dau Haji
5MagharibiNdugu Tauhida Cassian Galos
Ndugu Kaukab Ali Hassan
6Mjini UngujaNdugu Fakharia Shomar Khamis
Ndugu Asha Abdallah Juma


WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI – VITI MAALUM – ZANZIBAR

NA.MKOAJINA
1Kaskazini PembaNdugu Bihindi Hamad Khamis
Ndugu Choum Kombo Khamis
2Kaskazini UngujaNdugu Panya Ali Abdalla
Ndugu Mtumwa Suleiman Makame
3Kusini PembaNdugu Shadya Moh’d Suleiman
Ndugu Tatu Moh’d Ussi
4Kusini UngujaNdugu Salma Mussa Bilali
Ndugu Wanu Hafidh Ameir
5MagharibiNdugu Mwanaidi Kassim Mussa
Ndugu Amina Iddi Mabrouk
6MjiniNdugu Mgeni Hassan Juma
Ndugu Saada Ramadhan Mwendwa












WABUNGE WA WALIOTEULIWA KUPITIA MAKUNDI MENGINE

NA.KundiWALIOTEULIWA
1.Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)Ndugu Halima Abdallah Bulembo
Ndugu Zainabu Athuman Katimba
Ndugu Mariamu Dittopile Mzuzuri
Ndugu Maria Ndilla Kangoye
Ndugu Sophia Mfaume Kizigo
Ndugu Irine Uwoya
UVCCM - ZANZIBARNdugu Khadija Nassir Ali
Ndugu Munira Mustafa Khatibu
Ndugu Nadra Juma Mohamed
Ndugu Time Bakar Sharif
2.Jumuiya ya WAZAZINdugu Najma Murtaza Giga - Tanzania Zanzibar)
Ndugu Zainabu Nuhu Mwamwindi - (Tanzania Bara)
3.WalemavuNdugu Stella Alex Ikupa
Ndugu Amina Saleh Mollel
4.Vyuo VikuuNdugu Jasmin Tisekwa Bunga
Ndugu Esther Michael Mmasi
5.NGO’sMchungaji Getrude P. Rwakatare
Ndugu Khadija Hassan Aboud
6.WafanyakaziNdugu Angelina Jasmin Kairuki
Ndugu Hawa Mchafu Chakoma
majina ya wagombea ubunge kwa tiketi ya CCM majina ya wagombea ubunge kwa tiketi ya CCM Reviewed by WANGOFIRA on 06:35:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.