Kuchapa Barua pepe Yanga yashusha kifaa

HATIMAYE kiungo na nahodha wa FC Platinum ya Zimbabwe, Thabani Kamusoko ametua jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kusaini mkataba wa kujiunga na Yanga. Kamusoko alipokewa na Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh jioni kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), ambapo alipelekwa katika kikao na uongozi kwa mazungumzo.
Kuchapa Barua pepe Yanga yashusha kifaa   Kuchapa   Barua pepe Yanga yashusha kifaa Reviewed by WANGOFIRA on 01:45:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.